Interview Shemeza Clouds yagiriraniye na Inyange Voice A.K.A Adrien

By  |  0 Comments
Shemeza Clouds: tunawasalimu ndugu wapendwa wasanii wa nyimbo za injili!
  • Pia Na Sisi Tunawasalimu.
     Shemeza Clouds: kwa wale wasio jua kzi zenu, mnafanyia kazi zenu mukiwa wapi, yani inchi yenu munako toka?
  • Aah,kazi Zetu Tunazifanya Tukiwa Burundi In Buja Town Down.
    Shemeza Clouds: majina yenu yakazi za uimbaji na majina yenu harisi ni yapi?
  • Ok,they Call Me Adrien Niyukuri But My Nack Name Is Inyange Voice.
  • Shemeza Clouds: kwanini wakuite Inyange Voice
  • Ok,shwali Nzuli Kabisa,inyange Voice Najua Kila Mtu Anakatambua Kandege Inyange,natena Ukiwa Unakatizama Kenyewe Nikeupe Sana,natena Sijawahi Kumuona Ndege Huo Akiwa Nimweusi,ndomana Watuwakanipa Jina Hilo Inyange Kutokana Nakazi Zangu Nilikua Nazifanya,badai Namimi Nika Ongezea Voice Likapatikana Inyange Voice
     Shemeza Clouds: Vizuri sana, Je kuna kipya umetengeneza ambacho ungependa kuwashirikisha washabiki na madau wa kazi zako?
  • Yeah,kipya Kipo,natena Sio Kipya Ni Vipya,vipo Kibao,ok,kuna Nyimbo Nimezitengeneza Kitambo Wakatinilikua Sijaenda Tanzanzania Kama 6,lakini Sasa Hivi Nimezifanya Zingine Kama5, Kama My Really Love, Halelujah, Say Amen, Fitisezerano,na Remix Yanyimbo Ambae Ilikua Inajulikana Kwa Jina La Yesu Yaratsinze Ikaja Kwa Yuu Hai.Nakwawakati Huo Nilikuanimeshapanga Kufanya Videos Hapohapo Mungu Akabaliki,sasa Hive Tayali Video 2 Zipo Hewani Zanyimbo Fitisezerano Na My Really Love.
     Shemeza Clouds: nyimbo hizo mbili tutaziweka kwenye mutandao wetu ili washabiki wakaweze kuzitama videos hizo. Je kulikua changamoto ya kufanya izo kazi, kama video na nyimbo zote sita (6)?
  • Yeah,ilikuwepo
  • Shemeza Clouds: kama zipi?
  • Inyange Voice Adriano

    Ok,kilicho Sababisha Nifanye Kazi Hizo,nilikuanapigania Kumalizia Album Yangu Ubaya Wa Shetani Nikiwa Na Wahi Producer Wangu Kwasababu Yeye Sasa Hivi Anaishi Kenya.Natena Nilikua Napigania Kufanya Concert.

     Shemeza Clouds: najua kuna changamoto furani ambazo wasani mnakutana nazo. kama uwezo wapesa, mda namengine kadharika. je wewe ni hcanga moto gani ulizokutana nazo?
  • Ok,kwangu Siwezi Kusema Kama Sijawahi Kukutana Na Changamoto Lolote,lakini Sio Kama Nimesumbuka Sana Uwepo Tu Mtu Kwakazizote Ambazo Anazifanya Kuna Usumbufu Wowote,kama Mimi Kwangu Album Hio Nimeifanya Nikiwa Na Soma,nilisumbuka Kuhusu Na Mudha,kipesa Kwasababu Nilikua Sina Support Yoyote,kwakifupi It’s Like That
  • Shemeza Clouds: Asante. Kuna ujumbe gani mkubwa ambao ulitarajia washabiki na wadau ili wapate ujumbe kutoka album yako ambao tunaona umeweka kwaji Ubaya Wa Shetani?
  • Ujumbe Wangu,nikuomba Walewote Ambao Wanazipenda Kazizabwana Wetu Yesu Kristo Wa Zidi Kutuombea Sana Ila Mungu Atuezeshe Kufanya Kazi Hii,nakwale Wote Ambao Wanaipingakazi Yangu Nawambia Hivi:there Is A Time. Hasante Nasisi Tumewashukulu Sana Kwakuweza Kutupa Na Fasi. Amen
  • Shemeza Clouds: basi kwakumaliziya, mnapanga kuweka wazi alubamu yenu lini?
  • Sijapanga Kuweka Hewani Lakini Nyipo Zipo Hewani, Tena Chakufanya Kabla Sijaiwekahewani,nitakua Nafanya Concert Sanasana Kwakuitangaza Album Hio Halafu Badae Ndo Nipange Kuiweka Hewani.
  • Shemeza Clouds: niwe na Imani kua mutakua mnatujulisha latiba zote za tamasha hizo.
  • Really!

    Shemeza Clouds: tutafurahi. Asanteni kwa mda wenu. Kuna lote lile ambalo mungependa kuwaeleza washabiki na wadau?
  • Hasante Pia Na Nyinyi Kwakuweza Kutupa Nafasi.Lakusema Nikwamba Nawaitaji Kuaona Wakiwa Wana Support Kazizangu,natena Mungu Awalinde Sana Wale Wote Ambao Wanaipinga Kazi Yangu.Hasante.

  • Shemeza Clouds: tunawaombea balaka na uwepo wa Mungu katika kazi zenu. Awape hekima zakuendeleza kazi zenu. Burundian Gospel na Shemeza Clouds tunawatakia kila raheri katika kazi zenu.
Share
Profile photo of Burundian Gospel

Share

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

error: Copyright reserved by The Shemeza Co. ©2017
Skip to toolbar