Burundian Gospel | December 5, 2016
Fidel Murua anapongezwa na Shemeza Company kwakua mwana mziki kutoka Burundi alie peleka mbele mziki wa gospel mwaka 2016
Japokua mwana mziki huu katika mashindano ya Shemeza Artist 2016 alishinda nafasi ya tatu, kazi zake zilizidi kuvuma...